Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
 
Attachments

  • VID_30901103_004425_332.mp4
    4.2 MB
  • Screenshot_20200221-202639.png
    Screenshot_20200221-202639.png
    192.7 KB · Views: 1
  • Screenshot_20200221-202709.png
    Screenshot_20200221-202709.png
    158.9 KB · Views: 1
Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.

Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akimsifu kwa nyuzi 20 we unapungukiwa nini?
Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.

Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani huyu kijana mwenzetu hamonize hawezi kuwa mfalme bila kupambanishwa na kijana mwenzetu diamond?

Sent using Jamii Forums mobile app
Diamondplatinumz ndiye msanii mkubwa kwa sasa bongo kulingana imani ya wengi!! Style aliyopitia kuwa mkubwa ndo almost hiyo atatumia kondeboy!!! Amini usiamini AFROEAST inaenda kumweka harmonize kwenye headlines za dunia Kama album BURNABOY.....Mimi nmebahatika kuskiliza some songs humo. . a see yaani nyimbo zimo kwangaru ik a some namba.....
 
Mda ndio mwamuzi acha tusubiri.
 
Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.

Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo mondi anafanya vizurii daima. Yan hakosei..? Pumbav kabisa
 
Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.

Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Muache wewe muanzishie chiku tutausoma na ku like.
 
Back
Top Bottom