Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.
Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mashabiki wa kiba mmeamia kwa kondeboy sasa nyinyi mkimshabikia kondeboy Je kiba atashabikiwa na Nani?
Diamondplatinumz ndiye msanii mkubwa kwa sasa bongo kulingana imani ya wengi!! Style aliyopitia kuwa mkubwa ndo almost hiyo atatumia kondeboy!!! Amini usiamini AFROEAST inaenda kumweka harmonize kwenye headlines za dunia Kama album BURNABOY.....Mimi nmebahatika kuskiliza some songs humo. . a see yaani nyimbo zimo kwangaru ik a some namba.....Kwani huyu kijana mwenzetu hamonize hawezi kuwa mfalme bila kupambanishwa na kijana mwenzetu diamond?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata akimsifu kwa nyuzi milioni kila sekunde, kama ni mbaya ni mbaya tu. Na hata kama hujasisifiwa kwa uzi hata mmoja kwa mwaka, kama ni mzuri ni mzuri tu!
Mda ndio mwamuzi acha tusubiri.Diamondplatinumz ndiye msanii mkubwa kwa sasa bongo kulingana imani ya wengi!! Style aliyopitia kuwa mkubwa ndo almost hiyo atatumia kondeboy!!! Amini usiamini AFROEAST inaenda kumweka harmonize kwenye headlines za dunia Kama album BURNABOY.....Mimi nmebahatika kuskiliza some songs humo. . a see yaani nyimbo zimo kwangaru ik a some namba.....
Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.
Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Muache wewe muanzishie chiku tutausoma na ku like.Punguza chuki kwa Diamond kwa sababu hata kama Harmo anakutuma kumsifia humu jukwaani lakini njia unazozitumia sio.Haiwezekani kwa siku unatuma hata nyuzi 6 hadi 8 kwa siku kumsifia.Hapobunajichosha bure kwani kizuri kinajiuza.
Kila mtu anamwombea mazuri Dogo Harmo ila apambane.Akizingua tutamponda,akifanya vema tutamsifu.Mondi anafanya vizuri ndo maana tunamsifu
Sent using Jamii Forums mobile app