Inashangaza sana kwamba CCM wanapinga nini maana hata wenyewe hawajui wanapinga nini
1. Je mnapinga reforms ambayo ni mabadiliko ya mfumo wa sheria za kupiga kura
2. Je mnapinga uchaguzi kusubiri mabadiliko ya sheria
3. Mnapinga vyote
Sasa kama sheria ambazo kila mwangalizi yeyote , wananchi wa Tanzania, vyombo vya dini vyote vinasema chaguzi haziko huru na haki. Na CCM wakati huohuo chama kinajitamba kina nguvu na kupendwa sana.
Kama ni ukweli basi kwanini mnapata shida kufanya haya mabadiliko kwa manufaa ya wote na msindane kwa kupigiwa kura?
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Lakini cha ajabu sasa badala ya kuongelea sera CCM inaogopa mfumo kubadilika makada hawaongelei tena sera zozote .
Hamuwezi kupedwa na wananchi kama sera ni kupinga kura za hao wananchi kuesabika na kuwa na haki na uhuru wa kupiga kura