Ni vigumu kumtambua celebrity huyu.....

Ni vigumu kumtambua celebrity huyu.....

Leornado

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2010
Posts
1,529
Reaction score
198
DSC07210.JPG
 
Huyu mmiliki wa bendi ya bolingo hapa TZ. sema tu ni vigumu kutambulika maana kajitahidi kuchakachua sura yake awe mzungu lakini wapi> dah
 
Kweli amechakachua sura....maana mbona vidole vyeusi??.....wakti yeye mweupe??? Hapo inaonekana huo weupe si wake.....
Kazi ipo wadada na wamama.... KAMA WEUPE NI UZURI, BASI WAZUNGU WOTE WANGEKUWA WAZURI...
 
Naona kuna haja ya serikali kutoa elimu ya ngozi maana soon litakuwa janga la taifa. Ukiwa natural unapendeza sana na mkorogo na uzee haviendani kamwe.
 
Kweli amechakachua sura....maana mbona vidole vyeusi??.....wakti yeye mweupe??? Hapo inaonekana huo weupe si wake.....
Kazi ipo wadada na wamama.... KAMA WEUPE NI UZURI, BASI WAZUNGU WOTE WANGEKUWA WAZURI...

Kama rangi nyeupe ni nzuri basi ubuyu usingi pakwa rangi na kuuzwa.
 
Kama weupe ni mali basi usingewekwa kwenye unyayo ukakanyagiwa.
 
Nawashangaa mie mbona black na ninamvuto mbaya yani ileee ..,,
 
Back
Top Bottom