Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asha b.wa twanga p.
Kweli amechakachua sura....maana mbona vidole vyeusi??.....wakti yeye mweupe??? Hapo inaonekana huo weupe si wake.....
Kazi ipo wadada na wamama.... KAMA WEUPE NI UZURI, BASI WAZUNGU WOTE WANGEKUWA WAZURI...
Kama rangi nyeupe ni nzuri basi ubuyu usingi pakwa rangi na kuuzwa.
Nakikibali sana bibie, unajua tatizo ni kutojiamini mama.Nawashangaa mie mbona black na ninamvuto mbaya yani ileee ..,,