Ni vigumu kwa Mwafrika Dr Tedros Ghebreyesus kuendelea kuongoza WHO, Marekani yaondoa fedha za mchango nyuma ya pazia, yashinikiza Tedros aondolewe

Nenda kawawajibishe MKUU.

Sent using My COVID-19
 
Hata mm naunga mkono kuondolewa kwake . Hoja ya uafrika isiwekwe kabisa mbona koffe Anani aliongoza . Dr anaficha ukweli Bila shaka wachina wamesha mnunua tuu siunajua China wapo karibu na wale wanunuaji watu hivyo kumnunua Dr sio shida

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Dr Tedros amepata watetezi wengi.

Kwenye mkutano wa G20 ulofanyika hivi karibuni viongozi wa mataifa mengi ya magharibi wamepinga jitihada za raisi Trump za kutaka kumtoa Dr Tedros awe mbuzi wa kafara.
 
Jukumu la kiafya la ulimwengu liko kwa nani?. Kama sio WHO. Hivi Trump angefunga mipaka mapema usingekuja na lawama kwamba jamaa ni mbaguzi?. Basi kama ni hivyo shirika la afya lisiwepo la nini sasa?. Halifai abadan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China were spot on and Trump acknowledged it😎. Hizi mbwembwe mpya ni kiwewe maana hana clue ya nini afanye na wenge la kuchapwa kwenye uchaguzi limeshaanza kuset in

View attachment 1420693
Taarifa za masambao ndio ilikuwa siri pia wachina waliendelea kuruhusu movement ya watu bila ya taadhari. Sasa ndio uhalisia unaonekana vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…