Going Concern
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 1,071
- 1,212
Hapo kwenye red, hiyo ni kipimo upimacho, or u lzima ulipie kwa yale uloyatenda, so usiumie sana kama ulkuwa ukiwatesa mabinti wa wenzio.Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?
<br />Acha kututisha bana!!!
<br />kuna mtu anaelewa maana ya karma humu???????
Huwa wanawake wanaridhishwa na nini? Utajuaje kuwa kweli unamridhisha mkeo?mke mkeo bwana, humegewi ukumridhisha.