Ni vigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza!

Going Concern

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,212
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?
 
Acha wenyewe waje waseme,je wakitongozwa mara 9 ya kumi wanatick????
 
Labda, lakini naona kama kila mtu na akiri yake maana wengine wanamisimamo ya ukweli.
 
Huo si utafiti! Ni hisia zako tu. Siamini katika facts za kufikirika.
 
kuna mtu anaelewa maana ya karma humu???????
 
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?
Hapo kwenye red, hiyo ni kipimo upimacho, or u lzima ulipie kwa yale uloyatenda, so usiumie sana kama ulkuwa ukiwatesa mabinti wa wenzio.
na swali lako, naweza kukubaliana nawe maana huwa nawaona warembo au msichana mzuri ni nadra sana kumkuta ametulia, may be wanashindwa kuhimili vishindo vya kutongozwa.
 
Kiukweli ukimega vyawa2 na vyako utamegewa2 hiyo ni 100%
 
Juzi nikiwa nimekaa wa wababa walio kwenye ndo nikawauliza nimagumu gani wanayapata kwenye ndoa? Jibu nililopata lilinikata maini, wanasema ukiwa kwenye ndoa kua mvumilivu na fumba macho coz nivigumu mwanamke kuwakataa wanaume 10 watakao mtongoza! Tena kama kwenye ujana wako ulikua chupi mkononi basi utapigiwa sana mkeo kama si mkeo basi mtoto wako wa kike! Mnasemaje wakuu?

Acha kututisha bana!!!
 
Sometimes inabidi tu kupita kama hukupita....
 
Things just dont add up..! So its more likely to be untrue!
 
Jamani kama mmeshindwa kuoa acheni tu manake naona mnakuja na vidodoso dodoso viiiingiiiiiiiiii ilimradi mpate tu visingizio!
 
bado najifikiria siku nitakapokua tayari nimeoa kisha nikaja kugundua my Wife (mke wangu) anacheat,coz hapa tu sasa GF akizingua najihisi kumeza mtu...ndoa ni wito
 
Back
Top Bottom