Ni vigumu sana kuwatofautisha Zitto na Halima Mdee

Mkuu hii mijitu CHADEMA ni midikteta mibaya sana isiyo na madaraka tu.
 
Leta hapa uthibitisho wa hiyo chuki.

Mimi ni mtu huru kabisa, yawezekana sijaona tu hiyo tu.
“Tuliamua kushiriki Uchaguzi. Wenzetu waliamua kususia. Tuliheshimu maamuzi yao. Tukapata Taarifa za kura feki, tukasema. Wenzetu wakasema ‘tuliwaambia’. Tukadhibiti kura feki. Lakini tukashindwa. Tuka-concede. Wenzetu wamenuna, wanatoka povu. Ni ushamba tu. Concession is so normal”. Zitto Kabwe.

‘Wenzetu’ means CHADEMA.
 
Mkuu hii mijitu CHADEMA ni midikteta mibaya sana isiyo na madaraka tu.
Nakubaliana na wewe. Pia kuna swali moja aliwahi uliza Kardinari Pengo kwamba tunapinga ufisadi kwa sababu tunachukia ufisadi au kwa sababu tumekosa nafasi ya kufisadi? Lilikuwa swali la mtego kwa upinzani.
 
Ukiachaana na mashambulizi ya wanaCHADEMA kama nyinyi. Huyu ni kiongozi wa CHADEMA👇👇👇

Sasa kwa hiyo tweet kinachoifanya iwe ni chuki nino ?



 
Nakubaliana na wewe. Pia kuna swali moja aliwahi uliza Kardinari Pengo kwamba tunapinga ufisadi kwa sababu tunachukia ufisadi au kwa sababu tumekosa nafasi ya kufisadi? Lilikuwa swali la mtego kwa upinzani.
Binafsi naamini mabadiliko ya kweli yatatokana na wananchi wenyewe kwa asilimia 100.
 
Mamy unajua ni kwa sababu gani chadema waligomea matokeo ya uchaguzi uliopita?
 
ZZK akikalia kiti 'mwenzake' huwa haleti vurugu, na usishangae awamu hii akawa ally wa maza........... ndivyo alivyo!
 
 
Hata maandishi yako mwenyewe yanaonyesha chuki uliyonayo kwa CHADEMA.
Simchukii kila mwanaCHADEMA kwasababu mimi ni muumini wa UTU na sipendi UNAFIKI.

Watu wapuuzi na makatili wako vyama vyote na watu wema wako vyama vyote.

Chuki ya CHADEMA kwa Zitto imekuwa too much. Ni sawa na chuki ya CCM kwa Lissu.

Hivi siku mkipata madaraka Zitto atapona kweli?

Leo tena mmeanza kumshambulia Mdee, wiki kadhaa nyuma mlikuwa mnamshambulia Nyalandu.

Chuki nzito za nini?
 
Unaposema Mijitu ya CHADEMA unamaanisha nani ndani ya Chadema.
 
Hilo ni tamko au makubaliano ?

Do even know the difference?

Anyway, mimi nasubiri kuona.

CHADEMA hawatakuja kushiriki uchaguzi wowote ule chini ya tume hii mpaka pale CCM watapoirekebishe ili iwafurahishe CHADEMA.

Insanity.
Hivi mnaweza kutoa tamko la pamoja bila makubaliano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…