Ni vigumu sana kuwatofautisha Zitto na Halima Mdee

Hatimaye rangi yake imeonekana wazi.
 
Rais akishakua ndugu katika imani zitto kukosoa anaacha kwanza anageuka kua mtetezi wa ndugu katika imani.
 
Zitto kwa historia yake sikuwahi kumwamini na hatakaa aaminike.
Mdee nae hilo sigara analovuta linamfanya kuwa mwehu na kukosa staha!
 
Kwa Halima unaweza kumwelewa kwani ni mwanamke ni mama yetu - yawezekana kuna mambo yanamsonga songa, anaweza kulia akapiga magoti akatubu yakaisha - ILA kwa Zitto aisee pale ni full draft - aka kekundu na keupe kwenye kekundu utaliaaa bila kupigwa 🙂🙂🙂🙂🙂
 
Ni sawa kurusha LAWAMA Kwa WASALITI, Bt msisahau KULAANI UGONJWA mbaya unaoitwa CCM. Ndo Iko nyuma ya kila k2
 
Unaona ni chama gani makini cha kushirikiana nacho kwa mfano?.
ACT TLP CUF DP kina Dovutwa Rungwe au nani mjomba?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…