Fact mkuuNzuriii,
Japo ijulikane huo ni moyo wa mtu, sio suala la kuamua tuu...
Lakini pia ukianza fanya hivyo, basi usiangalie pembeni maana utakunata na changamoto nyingi sana...
Mf watu wasio na shukrani,
Changamoto za kiuchumi ambazo pengine wewe hakuna wa kukusaidia, Lawama unaposhindwa, Utasumbuliwa hata kwa wasio na shida bali tamaa.. n.k
Kwa ufupi hakuna namna ya kuwaridhisha binadamu....
Fanya kwa muumba wako, mapenzi na upendo.
Msaada upo wa aina nyingi ndugu, sio lazima pesa. Kumsaidia mtu kimawazo, nasaha na kumfanyia mentorship pia ni msaada mkubwa sana. Kwa tafiti fupi ni kwamba kila mtu anahitaji msaada binafsi wa kimawazo, hisia, pesa, nk.Hao watu kwanini wao wasikusaidie wewe?