Ni vipi naweza kupata Hati ya Tabia Njema?

Ni vipi naweza kupata Hati ya Tabia Njema?

grizzman

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2015
Posts
225
Reaction score
407
Habari za usiku ndugu zangu.

Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema. Mahali inapopatikana, vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
 
Nenda polisi ukiwa na barua ya Mwenyekiti wako mtaa au mtendaji ukifika polisi Kuna utaratibu utapewa pia usisahau picha za passport mbili uwe nazo.

Zikumbuki Kama Kuna kulipia Kama ipo haizid 5,000/=
 
Nenda polisi ukiwa na barua ya Mwenyekiti wako mtaa au mtendaji ukifika polisi Kuna utaratibu utapewa pia usisahau picha za passport mbili uwe nazo.

Zikumbuki Kama Kuna kulipia Kama ipo haizid 5,000/=
Kituo chochote cha polisi?
 
Nenda wizara ya mambo ya ndani?
Nenda na kitambulisho chako
Nenda na document inayoonesha wewe kuhitaji hiyo certificate of clearance ..basi
Gharama yake kulipia Bank ni 2000 sijui kama sahv imeongezeka

Ova
 
Gharama ya 2000 ni kwa kusubiri ndani ya wiki mbili minimum lakini ukijiongeza kesho yake tu unapata mzigo chap.
 
Nenda wizara ya mambo ya ndani?
Nenda na kitambulisho chako
Nenda na document inayoonesha wewe kuhitaji hiyo certificate of clearance ..basi
Gharama yake kulipia Bank ni 2000 sijui kama sahv imeongezeka

Ova
Boss kitambulisho chochote au na document naipata wapi
 
Habari za usiku ndugu zangu.
Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema.Mahali inapopatikana,vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
Kanisani au Msikitini
 
Yaani sielewi huu uzi uko serious au watu wanafanya jokes!
Mkuu ni kweli.

Infact, siyo rekodi ya Tabia njema japo wengine wanaiita hivyo. Bali ni criminal record (rekodi ya uhalifu) .

Taasisi zingine zinahitaji kujua kama hujawahi kukutwa na kosa lolote. Achana na kushutumiwa, bali ile umehukukiwa kabisa.

Rekodi ile huitumia kujua mienendo yako. Kisha wanakuajiri.

It is a serious thing.
 
Habari za usiku ndugu zangu.
Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema.Mahali inapopatikana,vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
Hiyo utaipata Makao makuu ya Polisi katika Mkoa husika.

Siyo kwenye vituo vya polisi.

Utahitajika kuwa na kitambulisho chako (preferably NIDA) na barua kutoka taasisi inayoihitaji.

Gharama ni Tsh 5,000.
 
Uhamiaji unapeleka original copy au certified copy?
Wanatoaga doc mbili zote original
Mm najua kwa ubalozini unapeleka original
Hiyo utaipata Makao makuu ya Polisi katika Mkoa husika.

Siyo kwenye vituo vya polisi.

Utahitajika kuwa na kitambulisho chako (preferably NIDA) na barua kutoka taasisi inayoihitaji.

Gharama ni Tsh 5,000.
Duh imeongezeka kdg sahv kumbe

Ova
 
Back
Top Bottom