Asante sana mkuu kwa maelekezo yako mazuri sikuwa najua kabisa hiki kitu.Mkuu ni kweli.
Infact, siyo rekodi ya Tabia njema japo wengine wanaiita hivyo. Bali ni criminal record (rekodi ya uhalifu) .
Taasisi zingine zinahitaji kujua kama hujawahi kukutwa na kosa lolote. Achana na kushutumiwa, bali ile umehukukiwa kabisa.
Rekodi ile huitumia kujua mienendo yako. Kisha wanakuajiri.
It is a serious thing.
Nahitaji sana hii kitu kuweka mambo sawa kazini. Napitia Comments za wadau nijue pa kuanzia.Habari za usiku ndugu zangu.
Kilicho nileta hapa ni kujua jinsi gani naweza pata hati ya tabia njema. Mahali inapopatikana, vitu ambavyo natakiwa niwe navyo na gharama.
Document hiyo iwe ni kitambulisho Cha Taifa au pasipoti pamoja na picha mbili na elfu 2500 kwenye simu yako ukienda watakupa control number utalipia halafu watakuchukua fingerprint kisha siku hiyo hiyo unapewa certificate yakoNenda wizara ya mambo ya ndani?
Nenda na kitambulisho chako
Nenda na document inayoonesha wewe kuhitaji hiyo certificate of clearance ..basi
Gharama yake kulipia Bank ni 2000 sijui kama sahv imeongezeka
Ova
Faida zake hasa ukitaka kwenda nje ya nchi au ukiwa umepata kazi mashirika ya nchi za nje hapa TanzaniaFaida zake zinatumiwaje hizo hati
Ni buku mbili jero kwasasa nimelipia majuzi tu ili kulipia kuombea Visa ya kwa malkiaWanatoaga doc mbili zote original
Mm najua kwa ubalozini unapeleka original
Duh imeongezeka kdg sahv kumbe
Ova
Sasaivi ni USD25Gharama ya 2000 ni kwa kusubiri ndani ya wiki mbili minimum lakini ukijiongeza kesho yake tu unapata mzigo chap.