NetMaster JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 1,454 Reaction score 4,925 Apr 26, 2023 #1 Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana. Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ? Tatizo huwa ni lipi hasa ?
Miguel Alvarez JF-Expert Member Joined May 28, 2019 Posts 2,856 Reaction score 5,430 Apr 26, 2023 #2 Kwanza Huo utamaduni wa kula na vijiko sio tamaduni zetu Waafrika, Tamaduni zetu ni kula kwa mkono bila kupunja😁
Kwanza Huo utamaduni wa kula na vijiko sio tamaduni zetu Waafrika, Tamaduni zetu ni kula kwa mkono bila kupunja😁
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Apr 26, 2023 #3 Nunua uwape
D Dafugwadu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,688 Reaction score 5,129 Apr 26, 2023 #4 Nyumba yenye wanafunzi wa shule ya msingi vijiko utakua unanunua kila siku.