Ni vipi nyumba inakuwa na uhaba wa vijiko vya shilingi 300 ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Huwa nashangaa sana baadhi ya nyumba tatizo la uhaba wa vijiko linaweza kuwepo kwa muda mrefu, vijiko unakuta ni vya kusubiriana.

Hivi mtu anapungukiwa kipi kununua hata vijiko vya buku viwe hata vinne ama vitano ?

Tatizo huwa ni lipi hasa ?
 
Nyumba yenye wanafunzi wa shule ya msingi vijiko utakua unanunua kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…