mchovu wa fikra
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 335
- 394
Umeamka asubuhi tu siku ya J3 kabla ya kwenda kazini amekuja jamaa anakuambia nimekuja kukulipa deni lako la mwaka ulopita anakupatia pesa,unaona yes siku imeanza poa,muda si mrefu anakuja Baba yako kukuambia kuwa umekubali kukupatia kiwanja ulichoomba ,unaona siku hii ni njema sana kwako unajiandaa kuelekea kazini,ghafla boss wako anakupigia simu na kukwambia kwamba kuna trip ya kwenda america kuiwakilisha kampuni na ukiwa huko utakuwa ukilipwa mara mbili ya Tz na familia yako itahudumiwa na kampuni kwa kipindi hicho chote,boss anakualert kwa siri kuwa tutakuwa na kitu kama interview kuanzia saa nne na nusu,ukapiga magoti na kumshukuru Mungu kuwa amekupa siku nzuri na njema inayokwenda kubadili maisha yako kwa namna moja au nyingine. umefika kazini kwa shauku na ukiwa tayari kwa hiyo demo ya interview na muda si muda interview inaanza na umeingia kwenye chumba ambacho meneja wako yumo na partners wengine ambao mtakwenda wote huko.
Ghafla unaulizwa swali la
1.kwanini uko hapa? unajibu vizuri mpaka watu wanatikisa vichwa
2.Upi umuhimu wako katika kampuni hii kwa hapa Tz? unajibu vizuri na wanakupa big up
3.Huoni kama kampuni itafeli wewe ukiwa haupo? unawapa mbadala wako katika kampuni na wanakuelewa.Wanakwambia hili ni swali la mwisho kwako na kulijibu vizuri na ukweli utaondoka kesho asubuhi
SWALI LENYEWE NI HILI HAPA CHINI:
4.Je huwa unatumia Jamii Forums? Akajibu ndio kwa kujiamini na kisha uanulizwa huwa unatumia ID ipi(Jina la ID yako) na utuambie kwanini umechagua ID hiyo?
Jamaa akajibu ID yangu ni JAMBAZI kwa kule JF,na nimeamua kutumia ID hii.....wakamkatisha na kumwambia aende nje.
Je kama wewe ni mwajiri utamruhusu huyu akaiwakilishe kampuni?
Ndani unahisi walijadili nini kuhusu huyu jamaa? Jamaa naye huko nje alikuwa katika wakati gani? Next nitaiendeleza hii ili ujue nini kilitokea na je,jamaa alikwenda america au la.
ID zetu ziweze kuwa na maana ambayo utaweza kujitetea.