Utaipata vp hiyo namna na wewe ni mwoga?Hivi hakuna namna jamani!!!!??? Mbona Niger,Mali na Bukinafaso wameweza.
Tufanyaje Sasa ndugu yangu?Utaipata vp hiyo namna na wewe ni mwoga?
Huja nyoosha, nani sasa?Matendo yake mabovu yanamtafuna haswa
Kwani ameongelewa nani?Huja nyoosha, nani sasa?
Nakubali ✔️!! Inapotokea baadhi ya wananchi kupinga kisheria jambo lenye ukakasi kwa maslah mapana ya Taifa then CCM hawaoni wala kusikia hapo ni vita dhidi ya wananchi wazalendo na CCM!!Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.
Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!.
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?!
Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia, Kikwete wala JPM vilevile hawakuzuia hizo hotuba, ni kwa nini sasa, kwa Samia?!
Serikali ya CCM imeamua liwalo na liwe, inapambana na "nchi".
Haina tena simile wala soni,
Imeshamaliza kupambana karibia na kila mtu, sasa inapambana na nchi.
Sasa CCM imeamua kukodisha vikosi vya maangamizi ili kuishinda hii vita.
CCM imekodisha kombora la 'UDINI', UCHAWA, UKUNGUNI, UOGA, VITISHO, UJINGA, RUSHWA, UNAFIKI,, n.k ili kuimaliza kabisa nchi.
Ikifikia hatua sheria na kanuni za nchi zinabadilishwa ili kumgawia mtu rasilimali na maliasili mbalimbali, ujue serikali inapigana na nchi.
View attachment 2713238
Huwezi tudanganya kuwa upo busy kiasi cha kukosa muda binafsi, yaani hapo ni kama hujui kutumia muda wako kujua mazingira uishiyo piaHivi hamna kazi za kufanya nyie!?
Unapata vipi muda wa kukaa na kutunga insha ndefu ndefu hv!
Au ndio kazi yako inayokupatia mkate wa siku?
Furaha yao ni ya kitambo tuMuvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.
Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!.
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?!
Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia, Kikwete wala JPM vilevile hawakuzuia hizo hotuba, ni kwa nini sasa, kwa Samia?!
Serikali ya CCM imeamua liwalo na liwe, inapambana na "nchi".
Haina tena simile wala soni,
Imeshamaliza kupambana karibia na kila mtu, sasa inapambana na nchi.
Sasa CCM imeamua kukodisha vikosi vya maangamizi ili kuishinda hii vita.
CCM imekodisha kombora la 'UDINI', UCHAWA, UKUNGUNI, UOGA, VITISHO, UJINGA, RUSHWA, UNAFIKI,, n.k ili kuimaliza kabisa nchi.
Ikifikia hatua sheria na kanuni za nchi zinabadilishwa ili kumgawia mtu rasilimali na maliasili mbalimbali, ujue serikali inapigana na nchi.
View attachment 2713238
Unataka kusemaje hapo 😅Hivi hakuna namna jamani!!!!??? Mbona Niger,Mali na Bukinafaso wameweza.
Alama moja ya mnafiki!Hivi hamna kazi za kufanya nyie!?
Unapata vipi muda wa kukaa na kutunga insha ndefu ndefu hv!
Au ndio kazi yako inayokupatia mkate wa siku?
Sisi tumejawa na ubinafsi. Ushahidi ni yanayofanywa na wabunge wetu.Hivi hakuna namna jamani!!!!??? Mbona Niger,Mali na Bukinafaso wameweza.
Daaah!!!Sisi tumejawa na ubinafsi. Ushahidi ni yanayofanywa na wabunge wetu.
Ni kweli.Furaha yao ni ya kitambo tu
Ubinafsi na UNAFIKI.Sisi tumejawa na ubinafsi. Ushahidi ni yanayofanywa na wabunge wetu.
Team mwendazake mna shida sana!!Muvi ya kutisha na kuchosha.
Kama igizo lakini ni kweli.
Niwaambie kitu ambacho wengi hamkijui?!.
Mlishajiuliza, ni kwa nini serikali ya Mh. Rais Samia iliamua kufuta vipande vya hotuba za Baba wa Taifa, katika Television na Radio zote?!
Kachunguzeni, Mwinyi wala Mkapa hawakudiriki kuzuia, Kikwete wala JPM vilevile hawakuzuia hizo hotuba, ni kwa nini sasa, kwa Samia?!
Serikali ya CCM imeamua liwalo na liwe, inapambana na "nchi".
Haina tena simile wala soni,
Imeshamaliza kupambana karibia na kila mtu, sasa inapambana na nchi.
Sasa CCM imeamua kukodisha vikosi vya maangamizi ili kuishinda hii vita.
CCM imekodisha kombora la 'UDINI', UCHAWA, UKUNGUNI, UOGA, VITISHO, UJINGA, RUSHWA, UNAFIKI,, n.k ili kuimaliza kabisa nchi.
Ikifikia hatua sheria na kanuni za nchi zinabadilishwa ili kumgawia mtu rasilimali na maliasili mbalimbali, ujue serikali inapigana na nchi.
View attachment 2713238
Umeona vyema kabisa.Team mwendazake mna shida sana!!
Hiyo vita ipo chumbani kwako au?🤣🤣🤣