DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Zikiwa zimesalia siku chache kurejea kwa ligi mbalimbali duniani, joto la soka linazidi kupanda. Mitandao inachafuka, pesa inamwagika, tambo zinatembea – lakini mwisho wa siku ni uwanjani tu ndipo ukweli utaandikwa!
Huko England, usajili umekuwa wa moto wa jiwe! Kuna wanaonunua kwa bei ya dhahabu, wengine wanauza kwa mikataba ya ajabu. Lakini ukiweka ushabiki pembeni, hii hapa ni Top 4 yangu ya EPL msimu huu mpya ujao Chelsea, Arsenal, Liverpool, Manchester United na wawili hawa watashuka daraja Sunderland na Leeds United.
Huu ni mtazamo wangu ukiona huna imani na mtazamo wangu andika mtazamo wako.