Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.

Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya victimization kulalamikia sana mapungufu yetu ni sababu ya ukoloni wakati wahindi na wachina walipitia huko huko na leo wapo mbali

najitaji vitabu mwandishi yupo huru kikifra, kelezea matatizo yetu as a collective

Nimechoka kuangalia movies sioni misaada yake
 
Ni kwamba humu ndani hata hamsomi vitabu au ?
 
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.

Nimechoka kuangalia movies
Water Rodney_ how Europe underdeveloped Africa.

John Justin Pambalu_ Tumethubutu, Tumeshindwa, Tujipange

Julius kambarage nyerere_ Azimio la Arusha

P.L.O Lumumba_ Magufulification of afrika

Pia Kuna vitabu vya PROFESSOR KAHABI VITAFUTE

Kwa uchache..
 
Nadhani literature ndiyo best solution kwa matatizo yetu ya kiafrika

Inaeleza wazi wazi sana mpaka kazi zingine zinafungiwa au waandishi kufungwa au kufukuzwa nchini kabisa .
 
safi-vitriosity aside.

Beyond the Wealth of Nations~Emeka Aniaglu.
 
Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.

Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya victimization kulalamikia sana mapungufu yetu ni sababu ya ukoloni wakati wahindi na wachina walipitia huko huko na leo wapo mbali

najitaji vitabu mwandishi yupo huru kikifra, kelezea matatizo yetu as a collective

Nimechoka kuangalia movies sioni misaada yake
Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.
Kutwa tunapambana kujionesha superior kuliko wazungu waliotutawala... kutwa kulaumu na kutafuta excuses badala ya solutions!! Kukasirika sana tunapoambiwa ukweli na kupambana kuwa fake!!

Hii race ni balaa, usishangae hata profesa akipigana kisa kuitwa mfupi inhaling ni kweli mfupi. Self realisation ndo itamwokoa mwafrika akaweza kujitawala!
 
Nadhani literature ndiyo best solution kwa matatizo yetu ya kiafrika

Inaeleza wazi wazi sana mpaka kazi zingine zinafungiwa au waandishi kufungwa au kufukuzwa nchini kabisa .
Literature nyingi huishia kusengenya/kusimanga watawala no solutions!!
 
Water Rodney_ how Europe underdeveloped Africa.

John Justin Pambalu_ Tumethubutu, Tumeshindwa, Tujipange

Julius kambarage nyerere_ Azimio la Arusha

P.L.O Lumumba_ Magufulification of afrika

Pia Kuna vitabu vya PROFESSOR KAHABI VITAFUTE

Kwa uchache..
Imagine huyo PLO Lumumba ambaye anaonekana brain kwetu akaandika hiyo takataka! Ninakubaliana sana na wanaosema evolution yetu haijakamilika!
 
Dead Aid - Dambisa Moyo
ewaaa..... hiki kinaonekana kipo vizuri, ntakikeshea weekend hii...

Despite the widespread Western belief that ‘the rich should help the poor, and the form of this help should be aid’, the reality is that aid has helped make the poor poorer, and growth slower.

nimekishusha hapa

1714166112465.png
 
Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.
Kutwa tunapambana kujionesha superior kuliko wazungu waliotutawala... kutwa kulaumu na kutafuta excuses badala ya solutions!! Kukasirika sana tunapoambiwa ukweli na kupambana kuwa fake!!

Hii race ni balaa, usishangae hata profesa akipigana kisa kuitwa mfupi inhaling ni kweli mfupi. Self realisation ndo itamwokoa mwafrika akaweza kujitawala!
Umeombwa Kitabu, unatoa Lecture. Tena a scripted propaganda. Unasema, Waafrika wanalalamika, wewe na uzungu wako hapa , unalalamika.

Please save the pity to yourself.
 
Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.
Kutwa tunapambana kujionesha superior kuliko wazungu waliotutawala... kutwa kulaumu na kutafuta excuses badala ya solutions!! Kukasirika sana tunapoambiwa ukweli na kupambana kuwa fake!!

Hii race ni balaa, usishangae hata profesa akipigana kisa kuitwa mfupi inhaling ni kweli mfupi. Self realisation ndo itamwokoa mwafrika akaweza kujitawala!
Mwafrika yuko bize kusema Yesu alikuwa mweusi mara ooh historia yetu imefichwa na wazungu [emoji3]

Cha kushangaza Babu wa Misri walifanya makubwa sana alafu mkuu hata chupi inamshinda.
 
Back
Top Bottom