MAKUWADI WA soko huriaNaombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.
Nimechoka kuangalia movies
Water Rodney_ how Europe underdeveloped Africa.Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.
Nimechoka kuangalia movies
Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k.
Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya victimization kulalamikia sana mapungufu yetu ni sababu ya ukoloni wakati wahindi na wachina walipitia huko huko na leo wapo mbali
najitaji vitabu mwandishi yupo huru kikifra, kelezea matatizo yetu as a collective
Nimechoka kuangalia movies sioni misaada yake
Literature nyingi huishia kusengenya/kusimanga watawala no solutions!!Nadhani literature ndiyo best solution kwa matatizo yetu ya kiafrika
Inaeleza wazi wazi sana mpaka kazi zingine zinafungiwa au waandishi kufungwa au kufukuzwa nchini kabisa .
Imagine huyo PLO Lumumba ambaye anaonekana brain kwetu akaandika hiyo takataka! Ninakubaliana sana na wanaosema evolution yetu haijakamilika!Water Rodney_ how Europe underdeveloped Africa.
John Justin Pambalu_ Tumethubutu, Tumeshindwa, Tujipange
Julius kambarage nyerere_ Azimio la Arusha
P.L.O Lumumba_ Magufulification of afrika
Pia Kuna vitabu vya PROFESSOR KAHABI VITAFUTE
Kwa uchache..
ewaaa..... hiki kinaonekana kipo vizuri, ntakikeshea weekend hii...Dead Aid - Dambisa Moyo
Na hapo ndipo wanapofeliLiterature nyingi huishia kusengenya/kusimanga watawala no solutions!!
Umeombwa Kitabu, unatoa Lecture. Tena a scripted propaganda. Unasema, Waafrika wanalalamika, wewe na uzungu wako hapa , unalalamika.Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.
Kutwa tunapambana kujionesha superior kuliko wazungu waliotutawala... kutwa kulaumu na kutafuta excuses badala ya solutions!! Kukasirika sana tunapoambiwa ukweli na kupambana kuwa fake!!
Hii race ni balaa, usishangae hata profesa akipigana kisa kuitwa mfupi inhaling ni kweli mfupi. Self realisation ndo itamwokoa mwafrika akaweza kujitawala!
TunasomaNi kwamba humu ndani hata hamsomi vitabu au ?
Hii ni line moja kwenye ngoma ya FidMAKUWADI WA soko huria
Ushawahi kumsikia Seith Chachage?Hii ni line moja kwenye ngoma ya Fid
Nipe taarifa nani huyo ?Ushawahi kumsikia Seith Chachage?
Mwafrika yuko bize kusema Yesu alikuwa mweusi mara ooh historia yetu imefichwa na wazungu [emoji3]Si rahisi mwafrika ku admit mapungufu yake kiasi cha kuyafanyia tafiti na kutoa solutions. Tuna very poor emotional intelligence iliyotufanya tushindwe kujitambua.
Kutwa tunapambana kujionesha superior kuliko wazungu waliotutawala... kutwa kulaumu na kutafuta excuses badala ya solutions!! Kukasirika sana tunapoambiwa ukweli na kupambana kuwa fake!!
Hii race ni balaa, usishangae hata profesa akipigana kisa kuitwa mfupi inhaling ni kweli mfupi. Self realisation ndo itamwokoa mwafrika akaweza kujitawala!