Ni vitabu vyenye maudhui gani vinatakiwa kuandikwa ili kuweka historia ya nchi sawa na kufunza vizazi vijavyo?

Ni vitabu vyenye maudhui gani vinatakiwa kuandikwa ili kuweka historia ya nchi sawa na kufunza vizazi vijavyo?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Nafikiri kuna mambo yanatakiwa kuwekwa katika vitabu ili kuweka historia sawa. Tunahitaji vitabu vidivyo kuwa kna muegemeo wowote, vitakavyotoa fact tu. Unafikiri vitabu kuhusu nini? Mimi nafikiri.

1. Kitabu kuhusu kashfa ya Lowasa na kujiuzulu kwake.

2. Kitabu kuhusu maisha ya JP Magufuli.

3. Kitabu kuhusu sakata la EPA.

4. .............
 
Back
Top Bottom