Ni vitu gani ambavyo huezi kufanya kwa wakati mmoja..

holy holm

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2017
Posts
4,793
Reaction score
9,101
Je ni vitu gani ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja
Mimi binafsi siwezi kula huku nachat, kusoma wakat na angalia tv
je wewe ni vipi ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja

twende sawa......
 
Je ni vitu gani ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja
Mimi binafsi siwezi kula huku nachat, kusoma wakat na angalia tv
je wewe ni vipi ambavyo huwezi kufanya kwa wakati mmoja

twende sawa......
Kuwa chooni nafanya yangu huku nakula
 
Kwa nini Mkuu.

Dada Yangu ni Mama Yangu?

Ienzi hiyo Siku. Ni siku muhimu sana kwa akina mama wenye utu wa umama.
Ilinisisimu kuliko kawaida aiseeh.baadae nikawasimulia rafiki zangu hivi wakaanza kulia kana kwamba ni wao.
If I'm not mistaken dada ako alikuwa na 17yrz si ndio
 
Ilinisisimu kuliko kawaida aiseeh.baadae nikawasimulia rafiki zangu hivi wakaanza kulia kana kwamba ni wao.
If I'm not mistaken dada ako alikuwa na 17yrz si ndio
Ndiyo. Alikua mdogo sana. Miaka 17 ana watoto wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…