Ni vitu gani ambavyo huezi kufanya kwa wakati mmoja..

Ni vitu gani ambavyo huezi kufanya kwa wakati mmoja..

kuendesha gari huku naangalia madem wenye chura.
sii enjoy kabisa
 
kale ka mchezo kuleee 6 x 6 halafu hapo hapo nikiwa katikati ya shughuli uniulize maswali kwa mfano hivi mzee Ndesamburo mazishi yake ni lini?
Ila kitu ambacho nna uhakika unaweza kuvifanya kwa wakati mmoja ni kukojoa (mikojo yote uijuayo) Huku unajamba. Hii nna uhakika kwakuwa nina ushahidi wa yaliyotokea siku ile
 
Kula huku naongea na simu

Kufanya kazi na kuongea na simu
 
Back
Top Bottom