Siyo Dada, ni mama yangu huyo. Alianza kuwa mama kwangu kabla hajawa dada.... Hakika Mungu na amuongezee dhawabu nyingi hapa duniani.Ooohoooo.aiseh.Mungu ampe maisha marefu popote alipo.
Sitakuja isahau hiyo story na miaka ya dada ako aiseeh.
Hahaha, Mkuu wewe unaweza kukimbia huku umesimama?Imebidi nicheke tu mkuu.
[emoji23] [emoji23]
[emoji19]nombako pechaa
Oops!sorry...ni mamaSiyo Dada, ni mama yangu huyo. Alianza kuwa mama kwangu kabla hajawa dada.... Hakika Mungu na amuongezee dhawabu nyingi hapa duniani.
Hakuna kama yeye.
Hii inawezekana sanaKukimbia huku nimesimama.
Hahaha, ntajaribu, sababu siku izi kuna watu wanakimbia wamekaa (wenye magari)Hahaha, Mkuu wewe unaweza kukimbia huku umesimama?
Kuna story za kusadikika. Lakini kuna zenye uhalisia pia ndani yake......Mi nililia ujue.hakyani tena nilizoea kusoma kwenye magazeti nikijua labda ni story tu.
Nampenda sana mama ake Compact (dada)japo simjui na sijui kama nitamjua ila moyo wake si wakawaida kabisa
Compact,,fanya kile ambacho moyo wako ukikifanya unakifurahia.Kuna story za kusadikika. Lakini kuna zenye uhalisia pia ndani yake......
Najisikia fahari sana kumuita mama ingali siyo.
Ha haaa haaaaaaa nimecheka mpaka wananishangaa!kale ka mchezo kuleee 6 x 6 halafu hapo hapo nikiwa katikati ya shughuli uniulize maswali kwa mfano hivi mzee Ndesamburo mazishi yake ni lini?
hahahaahah, Ngushi kwani wewe unaweza kufanya yote kwa pamoja? hahahahahahhaHa haaa haaaaaaa nimecheka mpaka wananishangaa!
Haiwezekani bhana zaidi ya zileeeeee sauti flani [emoji23]hahahaahah, Ngushi kwani wewe unaweza kufanya yote kwa pamoja? hahahahahahha
ππππππππ jioni njemaHaiwezekani bhana zaidi ya zileeeeee sauti flani [emoji23]