Top 2 zangu ni:
(1) SEX - Hii bado ina matter ila kidogo sana sio kama zamani nadhani ni kwasababu ya ubusy na kufocus zaidi kwenye majukumu ya kutafuta kipato. Kama unavoelewa too much sex huwa ina madhara hasa kwetu wanaume coz ina-drain nguvu ya mwili na akili hivyo najaribu pia kuepuka sana hadi pale ugwadu unapozidi😂😂
(2) UOGA - Zamani nilikua naogopa almost kila kitu na hata nisipokua naogopa nilikua naogopa kwanini siogopi nikihisi kuwa kuna kitu sijafanya😂 Kuogopa kuhusu past yangu au future yangu kulinifanya kutokua na furaha muda huo! Niligundua kuwa kile nilichokua nikikiogopa kiliishia kutokea na kuna vingi sikuweza kuvidhibiti au kuvibadilisha baada ya kutokea! So, nikaacha kuogopa na matokeo yake furaha imekua nyingi zaidi na matatizo kidogo mno!