Ni vitu gani tumevifanya kuwa vya kawaida kwenye misiba na mazishi ambacho sio sawa?

Ni vitu gani tumevifanya kuwa vya kawaida kwenye misiba na mazishi ambacho sio sawa?

Hii mambo ya kupiga picha makaburi na kujirekodi tukiwa misibani naona haijakaa sawa. Siku hizi ni kama watu wanaenda kwenye fashion show sio kuzika tena
Waachieni watu wafanye wanavyotaka kwenye misiba yao.

Na nyie fanyeni mnavyotaka kwenye misiba yenu.

Mambo ya kukariri misiba iwe hivi kwa sababu imekuwa hivyo zamani ni logical fallacy.

Argument from tradition logical fallacy.
 
Waachieni watu wafanye eanavyotaka kwenye misiba yao.

Na nyie fanyeni mnavyotaka kwenye misiba yenu.

Mambo ya kukariri misiba iwe hivi kwa sababu imekuwa hivyo zamani ni logical fallacy.

Argument from tradition logical fallacy.
Wengine hata si misiba yao tuseme ni rafiki tu unaenda unaanza kupia picha. Mpunguze haya mambo watu wa traditional logiacl fallacy jamani. Khaa
 
Wengine hata si misiba yao tuseme ni rafiki tu unaenda unaanza kupia picha. Mpunguze haya mambo watu wa traditional logiacl fallacy jamani. Khaa
Wenye misiba yao wataamua, kama hawataki watawaambia msiba huu picha haziruhusiwi.

Kuna misiba watu wanataka mpaka kuwe na livestreaming ziwekwe Youtube ndugu, jamaa na marafiki hata walio mbali waone.

Na ndugu wengine walio mbali wanafarijika sana kujiona kama wameshiriki kwenye msiba.

Mtakataza na hilo pia kwenye misiba ambayo hata si yenu?

Waaachieni watu wapange misiba yao wanavyotaka, acheni kukariri misiba inatakiwa kuwa hivi au vile.
 
Back
Top Bottom