Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,639
- 2,384
Wataalamu wa kuagiza magari used from Japani au nchi nyingine mnaangalia vigezo Gani katika kuchagua gari Bora?
1.Uchache wa kilomita
2.Bei ya gari kuwa juu?
3.Mwaka wa gari?
Wakati mwingine naona gari Lina kilomita nyingi mfano 168000 na bei yake pia Iko juu ukilinganisha na gari lenye kilomita chache mfano kilomita 127000 au 140000 hapo ndiyo nachanganyikiwa.Karibu Kwa michango yenu