πππ
Tatizo wale ma agent wanalipwa kamisheni kila wakifanikisha mtu kununua. Wataforce ununue ili wao mihamala isome bila kujali ww.
Me naona, kama imekuja kuagiza JP:
1. Panga bajeti Yako (ya gari na TRA)
2. Chagua Magari angalau model 2 au 3.
3. Yaelewe vizuri Magari kwa kusoma kidogo au kuuliza (mfano ujue generation, aina za engine, gearbox nk). Ujue mwaka ulioanza hadi ulioisha iyo generation, common issues nk.
4. Anza kutrace Bei zake online na TRA ujue kama iko ndani ya bajeti Yako.
...
Ukivuka izo stages sasa ndio njoo kwenye kununua.
5. Hakikisha wanakupa condition na auction sheet/report. Na nunua grade 3.5 kwenda juu.
6. If possible piga chini Singapore na 3rd party sellers
7. Ukinunua BF kalipie ofisini kwao ila SBT nadhani hawana cash
8....