Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Draftsman niko apa boss naomba kaziKama mada inavyoijieleza hapo juu, ningependa kuwauliza wanaJF ni vitu/mambo yapi ya kuzingatia unapotaka kuanzisha kampuni ya usanifu majengo(Architects)?
Napitia comments kwa maoni, ushauri na majibu ya swali nililouliza,
Ahsanteni.