Ni viwanja gani kwa Mbezi ya Kimara vimetulia nitapata Viburudisho (Lounge) Sports bar

Ni viwanja gani kwa Mbezi ya Kimara vimetulia nitapata Viburudisho (Lounge) Sports bar

Kama hiki?? Au unataka chenye muziki?
IMG_20200517_093047_419.jpg
 
Angalia usilete corona, maana kwetu imeisha, vipi Singapore wamekuchosha?

Viwanja mbezi vipo nadhan ndo sehem inaongoza kuwa na sehem tulivu
 
Na mm nataka fahamu..nataka kunywa bia mbili tatu
 
Ukekutumaliza vizuri
anzia TABATA baba sikukuminanne. Uanzekuj mbeziiii kwikwii
mpwakaribui sanaaa

UKITAKA VIDUMU VYA KUKULIWAZA. UJISIKIE UKOBADO HUKO NIONE INBOX
POLE NA UCHOVU
Hahhahahaahha...hili balaa
 
Kuna Kiwanja kinaitwa JM Sports and Lounge kwa Steven Mashisbanga kule juu, pako safii kwa wanywa bia nadhan wamepajua, kuna watoto wakali wakali, wastaarabu
 
Back
Top Bottom