Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

Ni vizuri Bunge likajikita kwenye mjadala wa Bima ya Afya kwa wote

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima.

MY TAKE;
1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya Afya kujitegemea.hii ni ahadi ya CCM 2015 na 2020 ambayo haikuwahi kutekelezwa.

2- Aidha mwaka 2020 CHADEMA waliahidi kutuletea bima ya afya kwa wote ingawa hawakupata nafasi.

2- Katika uchaguzi mkuu sikusikia chama kilichoahidi chanjo ya COVID-19 so let us not waste time and resources nje ya ilani.

3- Tukiacha mjadala huu uteke ule mjadala wa bima ya afya kwa wote afya ya watanzania itaendelea kuwa ni kwa hisani ya ma TX tu.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
HONGERA MCHANGIAJI WA ARIDHIO KWA KUAMSHA MJADALA
 
Back
Top Bottom