Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

Unavoidable Servant

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2021
Posts
1,728
Reaction score
4,545
JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State.

Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na hawapaswi kuaminiwa popote.
 
Aduii wa hilii taifa ni mmoja tu wadau kila siku wanamtaja hapa jamvini
 
Adui wa kwanza ni kukosa Uzalendo na msimamo ya kutetea masilahi ya Nchi, badala yake tunajikomba komba kwa wenye madaraka na pesa
 
Back
Top Bottom