Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Ni vizuri tukaanza kuwekana sawa maana maneno na majigambo ya wenzetu Kono la nyani yamekuwa mengi mtaani wakitambia usajili wao kuwa ni hatari tupu sasa ni Bora tuliweke hili vizuri na wazi zisije zikatafutwa sababu nyingine za kuwatoa watu mbuzi wa kafara.
Mangungu asije akaanza kuandamwa Tena wakati yakitokea yatayotokea, Mashabiki na wanachama wa Simba waseme wenyewe kama timu yao Iko vizuri kuhimili mziki wa gamond, Maana zile SANDA zao zimeongeza jambo kwenye mechi ijayo ni dalili za kifo kibaya sana.