Ni vizuri kuweka rekodi sawa. Je, Simba mko vizuri kupambana na Yanga hii tarehe 8? Je, mnacho kikosi bora?

Kisa kufungwa 5-1 shabiki maandazi wa uto wanaamini wana timu imara sana ya kuifunga simba muda wote. Msimu wa juzi liver aliifunga man u 7-0 , msimu uliotoka kuisha liver hajashinda hata mechi moja dhidi ya man u zaidi ya yeye kupigwa. Huo ndio mpira ila mashabiki maandazi mnakariri kama vile uto haijawahi kupigwa 5G. Kama una uhakika na uto kushinda bet ushinde mamilioni.
 
Na bado mtasema mpaka mseme!
 
Kwa hiyo unaamini simba kushinda mbele ya yanga???? Hilo sahau usianze kutuletea habari za man u Na Liverpool kikosi chenu kibovu hapo ulipo haujui hata first eleven ya timu yako kama unaijua itaje
 
Nikiwa kama shabiki wa Mpira, nakwambia Simba Wala haiitaji kikosi Bora ili kutufunga,inahitaji mpango mzuri na wachezaji kujitoa tu,.ndio kandanda ilivyo.

Unaikumbuka Yanga ya Zahera??kipa Ben kakolanya,Simba imeshona wakli tupu,sisi tia maji tia maji,mechi ikaisha 0-0,

Mechi ya marudiano kipa kabwili,wao wameshona balaa,sisi hatuna wachezaji wa maana,tukafungwa goal 1 kwa kosa la kizembe la kipa na beki jaffary,next game tukatoka 2-2 balama na Banka wameturudisha,next game wakafa Moja bila goli kapiga Morrison,kumbuka hapo sisi mechi zote underdog,miaka miwili ,misimu mitatu hawajatufunga,

So Mpira sio hivyo Chief.
we jamaa kumbe unafatilia boli,,
mwambie hizi dabi haziitaji kwenda na matokeo mfukoni,,

ila kiutani sio mbaya acha atabiri anavojua 😁
 
Kwa hiyo unaamini simba kushinda mbele ya yanga???? Hilo sahau usianze kutuletea habari za man u Na Liverpool kikosi chenu kibovu hapo ulipo haujui hata first eleven ya timu yako kama unaijua itaje
Kwani mwaka jana mlipofungwa 2-0 simba ilikuwa level ya Man city sio? Unaonekana hufuatilii mpira maana shabiki wa mpira hawezi kuguarantee timu fulani kutofungwa dhidi ya timu nyingine . Tushaona timu kubwa zikifungwa na timu ndogo sembuse nyinyi ambao mko level moja na simba eti hamuwezi kufungwa. Anaeamini hivyo ni shabiki maandazi
 
Simba sasa imeimarika vipengele vyote kuanzia safu ya ulinzi utamkuta ukuta wa yeriko na wenzake , kiungo ndo usizungumze wananyumbulika mno hapa unamkuta babalao Ngoma, wing utamkuta Mutale, saafu ya umaliziaji yupo king Mukwaka. Mbona Yongq atapotea.
Swali...nan kasajiliwa kama mmbadala wa Henonga baka?
 
Back
Top Bottom