Majok majok
JF-Expert Member
- Aug 3, 2023
- 783
- 2,057
Comments reservedNi vizuri tukaanza kuwekana sawa maana maneno na majigambo ya wenzetu Kono la nyani yamekuwa mengi mtaani wakitambia usajili wao kuwa ni hatari tupu Sasa ni Bora tuliweke hili vizuri na wazi zisije zikatafutwa sababu nyingine za kuwatoa watu mbuzi wa kafara!
Mangungu asije akaanza kuandamwa Tena wakati yakitokea yatayotokea, Mashabiki na wanachama wa Simba waseme wenyewe Kama timu yao Iko vizuri kuhimili mziki wa gamond, Maana zile SANDA zao zimeongeza jambo kwenye mechi ijayo ni dalili za kifo kibaya sana!
Umeenda mbali sana, juzi tu kocha akiwa Nabi na Yanga ipo kwenye form vibaya mno ikalala goli 2:0Nikiwa kama shabiki wa Mpira, nakwambia Simba Wala haiitaji kikosi Bora ili kutufunga,inahitaji mpango mzuri na wachezaji kujitoa tu,.ndio kandanda ilivyo..
Unaikumbuka Yanga ya Zahera??kipa Ben kakolanya,Simba imeshona wakli tupu,sisi tia maji tia maji,mechi ikaisha 0-0,
Mechi ya marudiano kipa kabwili,wao wameshona balaa,sisi hatuna wachezaji wa maana,tukafungwa goal 1 kwa kosa la kizembe la kipa na beki jaffary,next game tukatoka 2-2 balama na Banka wameturudisha,next game wakafa Moja bila goli kapiga Morrison,kumbuka hapo sisi mechi zote underdog,miaka miwili ,misimu mitatu hawajatufunga,
So Mpira sio hivyo Chief...
Msikariri ujinga, Maisha ya kukariri yamewaferisha wengi, na mazoea yamewaferisha wengi yetu macho!Umeenda mbali sana, juzi tu kocha akiwa Nabi na Yanga ipo kwenye form vibaya mno ikalala goli 2:0
Mechi ya Simba na Yanga sio ya matokeo mfukoni
Yanga wana kikosi bora cha kwanza. Kile cha pili hamna kitu, kama uliona mechi ya Yanga vs Galax utagundua jinsi walivyoshambuliwa. Simba bado haijaonekana hadharani, tunaisoma tu mitandaoni. Labda baada ya matamasha yao ndo mtu anaweza kutambia kikosi. Kikosi cha Yanga nguvu iliyoongezeka ni ya Dube tu badala ya Guede, na ya Abuya badala ya Mudathir labda. Wengine ni wale wale walioifunga Simba 2-1 mechi ya mwisho kukutana hivi karibuniNi vizuri tukaanza kuwekana sawa maana maneno na majigambo ya wenzetu Kono la nyani yamekuwa mengi mtaani wakitambia usajili wao kuwa ni hatari tupu sasa ni Bora tuliweke hili vizuri na wazi zisije zikatafutwa sababu nyingine za kuwatoa watu mbuzi wa kafara.
Mangungu asije akaanza kuandamwa Tena wakati yakitokea yatayotokea, Mashabiki na wanachama wa Simba waseme wenyewe kama timu yao Iko vizuri kuhimili mziki wa gamond, Maana zile SANDA zao zimeongeza jambo kwenye mechi ijayo ni dalili za kifo kibaya sana.
Watuambie mapema Yale wanayo ita Maduka Bado yapo au yameondoka, Vipi Mangungu mna mwelewa au msalitiMsikariri ujinga, Maisha ya kukariri yamewaferisha wengi, na mazoea yamewaferisha wengi yetu macho!
Mechi ya Galaxy ile sio kikosi cha kwanza na cha pili bali kocha alipanga kikosi cha wazawa na cha wageni. Ingekuwa lengo ni kupanga kikosi cha kwanza na cha pili ungeona kocha akiwachanganya wachezazi. Mfano tu, dakika 45 angepanga Mudathir na Aucho na kipindi cha pili nafasi zao zingechukuliwa na Andambwile na Abuya hivyo hivyo kwa nafasi zinginezo.Yanga wana kikosi bora cha kwanza. Kile cha pili hamna kitu, kama uliona mechi ya Yanga vs Galax utagundua jinsi walivyoshambuliwa. Simba bado haijaonekana hadharani, tunaisoma tu mitandaoni. Labda baada ya matamasha yao ndo mtu anaweza kutambia kikosi. Kikosi cha Yanga nguvu iliyoongezeka ni ya Dube tu badala ya Guede, na ya Abuya badala ya Mudathir labda. Wengine ni wale wale walioifunga Simba 2-1 mechi ya mwisho kukutana hivi karibuni