Ni vizuri kuweka rekodi sawa. Je, Simba mko vizuri kupambana na Yanga hii tarehe 8? Je, mnacho kikosi bora?

Kisa kufungwa 5-1 shabiki maandazi wa uto wanaamini wana timu imara sana ya kuifunga simba muda wote. Msimu wa juzi liver aliifunga man u 7-0 , msimu uliotoka kuisha liver hajashinda hata mechi moja dhidi ya man u zaidi ya yeye kupigwa. Huo ndio mpira ila mashabiki maandazi mnakariri kama vile uto haijawahi kupigwa 5G. Kama una uhakika na uto kushinda bet ushinde mamilioni.
 
Na bado mtasema mpaka mseme!
 
Kwa hiyo unaamini simba kushinda mbele ya yanga???? Hilo sahau usianze kutuletea habari za man u Na Liverpool kikosi chenu kibovu hapo ulipo haujui hata first eleven ya timu yako kama unaijua itaje
 
we jamaa kumbe unafatilia boli,,
mwambie hizi dabi haziitaji kwenda na matokeo mfukoni,,

ila kiutani sio mbaya acha atabiri anavojua 😁
 
Kwa hiyo unaamini simba kushinda mbele ya yanga???? Hilo sahau usianze kutuletea habari za man u Na Liverpool kikosi chenu kibovu hapo ulipo haujui hata first eleven ya timu yako kama unaijua itaje
Kwani mwaka jana mlipofungwa 2-0 simba ilikuwa level ya Man city sio? Unaonekana hufuatilii mpira maana shabiki wa mpira hawezi kuguarantee timu fulani kutofungwa dhidi ya timu nyingine . Tushaona timu kubwa zikifungwa na timu ndogo sembuse nyinyi ambao mko level moja na simba eti hamuwezi kufungwa. Anaeamini hivyo ni shabiki maandazi
 
Swali...nan kasajiliwa kama mmbadala wa Henonga baka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…