Ni vizuri ukawa msafi vya kutosha unapokuwa faragha na mwenzi wako

Ni vizuri ukawa msafi vya kutosha unapokuwa faragha na mwenzi wako

Kitendo cha dakika 3 mnaki overate kinoma.
binafsi nawapongeza sana wavumilivu, hata hivyo huna sababu ya kuvumilia hali hiyo kwani vifaa vya usafi vinapatikana kirahisi 🐒
 
Wanawake ni wagumu sana wa kusafisha papuchi zao kabla ya kudinyana. Papuchi zinanuka utoko.
To yeye ameuliza swali hapo juu (comment ya 10), ila hamuamjibu. Huwezi sema una kinyaa ukainyonya K!
 
To yeye ameuliza swali hapo juu (comment ya 10), ila hamuamjibu. Huwezi sema una kinyaa ukainyonya K!
wengine hasa wa mikoani,
kwenye unyonyaji wa hayo madude tusameheane tu kwakweli, ili kuepuka kutapishana hadi utumbo, maana dah.....

kwanza huo muda wa kufanya hivyo unatoka wap?

inahitaji roho ngumu kidogo, tamu ni chini kwa chini bana 🐒

muhimu zaidi ni usafi...
 
Ni vizuri kujiridhisha na kujihakikisha kwamba u-msafi vya kutosha maeneo yote ya ndani, ya mwili wako hususani unapokua faragha na mwenzi wao..

Mfano maeneo yenye mikunjo na yenye nywele, ya wekwe vizuri, mdomo usukutuliwe kwa usahihi, pua na maskio visafishwe vizuri, na hata kucha za mikononi, nywele za kichwani ni vizuri zikawa katika hali ya usafi kuliko kuzificha kwa kilemba au kofia....

Ni muhimu kuzingatia hilo kuepuka kulaumiana kwenye kuridhishana baadae.

Moja miongoni mwa wahusika katika faragha anaweza asifanye chochote kikamilifu au ipasavyo anapoona au kukutana na uchafu au harufu isiyo faa...

Licha ya kwamba tatizo la harufu isiyofaa au uchafu inaweza kua ni kwasabb za kiafya kwa baadhi, basi ni vizuri likatafutiwa ufumbuzi wa kitabibu kuliko kulazimisha kumridhisha mtu hali ya kua uko ktk hali hiyo.

Hali ya uchafu na harufu isiyofaa husababisha tendo lisifanyike kikamilifu na kwa umahiri inavyostahili...

tendo linapaswa kufurahiwa na wote wanaoshiriki...

Tusizingatie usafi wa nje pekeyake, bali pia muhimu zaidi kufanya usafi mpaka wa ndani vizuri..

Ni katika kukumbushana tu, maana jambo hili liko bayana kwa kila moja 🐒
Adosiri kila akoo Tlaa Tlaa, ushawahi kutana na mwanamke ananuka harufu ya kule feri kigamboni?
 
Back
Top Bottom