Ni volkswagen touran ama spacio??

Ndio toyota anapowapiku wazungu hapo, reliability check ipo juu sana. Gari za mjerumani kibongo bongo ujipange sawasawa.
 
Ukiamua kununua Volkswagen, kubali gharama. Haya magari hayataki ujanja kuyaservice. Inatakiwa uweke oil na gear box oil inayoruhusiwa, la sivyo utalia na gia box mpaka mwisho.

Kama utakuwa unaservice kwa madealer wa Volkswagen, itakuwa poa zaidi. Sema bei yake si mchezo.
 
Na mimi naomba kujua vipuri vya Volkswagen vinapikana nchini?
Kama hujui kitu kinapatikana wapi usiseme hamna. Mimi nauza Spare za VW zote, tena Touran ndio ninazo nyingi sana. VW upatikanaji wa spare ni rahisi kuliko hata Nissan na Mazda.
 
Ninachoweza kukwambia ulimiliki hio gari ukiwa na limited information. Moja ya VW cheap kumiliki ni Touran. Hivi unajua tofauti ya Touran na Golf mk5 ni body tu? Parts zote zinaingiliana ila inabidi ujue hio fact.
Mimi nauza parts za VW hizo shocks wewe umeagiza SA mimi ninazo (from Germany) nauzia watu hapa Dar.
Konachowaumiza wamiliki wengi wa VW ni mafundi uchwara ambao wanawauzia spares bei mara tatu ya dukani kwasababu wamiliki hamko informed.
 
Durability na stability sina mashaka kwa Volkswagen,ila swala la vipuli sina uhakika.
 
Durability na stability sina mashaka kwa Volkswagen,ila swala la vipuli sina uhakika.
Kwa VW sasa hivi hamna tofauti sana na Toyota ndio maana zimejaa sana. VW ndio gari nafuu kumiliki kwa European makes.
 
u r very right mkuu,taarifa ndio sahihi huku mitaani watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
 
Kwa VW sasa hivi hamna tofauti sana na Toyota ndio maana zimejaa sana. VW ndio gari nafuu kumiliki kwa European makes.

u r very right mkuu,kuna ukosefu wa taarifa sahihi huku mitaani ndio watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
 
u r very right mkuu,taarifa ndio sahihi huku mitaani watu wanaishia kupigwa na kuingizwa hofu.swali nje ya mada :nahitaji sample ya gear box na rear cross member ya bmw 320i ya 2005 unazo?na bei imekaaje for both used and new?
Hizo sio stock items, huwa naleta kwa order. Bmw yako ni E90 au E46?
 
Reactions: ral
Kuna siku nilikuwa natafuta Gari ya kununua mtandaoni nikakutana na Marcedes Benz bei kama ya haya magari yetu ya Japan nikajisemea moyoni sasa ndo wakati wa mm kumiliki Benz lkn nilipoulizia kuhusu Service na spare nikafuta mawazo papo hapo!
 
Of coz...bei ya spare za Benz haiwezi kuwa kama gx110! Hata safety na comfort ya Benz sio sawa na gx110...Hata hadhi yako ukishuka kwenye Benz sio sawa na ukishuka kwenye corolla hence PRICE TAG.
 
nimependa ushauri wako mkuu, safi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…