Ni vyakula gani vinamfaa mama mjamzito ili mtoto atakayezaliwa asiwe mnene sana? Naomba msaada wenu

Ni vyakula gani vinamfaa mama mjamzito ili mtoto atakayezaliwa asiwe mnene sana? Naomba msaada wenu

Wakati gani;wa kujifungua au wakati anakua?
 
mada imeishia kwenye kichwa cha bahari!!!!
 
Epuka mistachi kwa wingi

mbogamboga...matunda....baadhi ya samaki (wasiokuwa na mecury)...nyama kiasi...maziwa..... bila.kusahau juice ya beetroot ili kuongeza damu
 
Back
Top Bottom