ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

ni vyakula vipi vinampa mwanaume pumzi ktk uwanja wa 6 kw 6?

Minadhani mkipendekeza hizo aina ya vyakula muelezee kidogo na mechanism yake mwilini ili ku justify maana mapendekezo yamekuwa mengi na yanatofautiana, miluzi mingi humpoteza mbwa! au aje mtaalamu pia atukhabarishe
 
vyakula vyote hapo ni vya msingi ila hakikisha kama unafanya kazi za ofisini basi uwe unafanya mazoezi ili uwe fiti
 
Zingatia zaidi vyakula asilia na achana na vyakula artificial ambavyo tunavifagilia kwa kuwa ni vitamu vitamu
 
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara. nawasilisha

Hata kikombe cha BABU WA LOLIONDO KINAFAA
 
nawasalim woote wana jf. Naomba kujuzwa ni vyakula vp hasa mwana mume anaweza kuvila kuboresha ndoa yake badala ya kutumia dawa za kichina na zinginezo ambazo zina sadikika kuleta madhara. nawasilisha

Hakikisha unakua na ratiba ya kunywa kahawa walau mara mbili kwa siku,acha ile kahawa ya kuunga sukari nyumbani ile ya kwenye vijiwe,huna haja ya kula kingine jaribu hata leo uone shughuli yake.
 
Na hivi vyakula vya GMO yani itafika siku wanaume ukifanikiwa kukaa juu ya kifua for 10 minutes unashangalia kama umeshinda jackport! Nawaonea huruma watoto wetu.

Vyakula vya Gmo ndo vp mkuu mbona sivitambui?
 
Hahahaaaaaaaaaaaa watu wanadanganyana sana vijiweni....Mwanamme wa kawaida umchukua dkk 1 hadi dkk 5 kufika mshindo sasa hizo dkk 10 zote za nini? Kama nungayembe unataka kulikomoa(kufaidi hela yako) hapo sawa.
mkuu sikuungi mkono hata kidogo ?
 
Mhhh . . ! Hakuna aliyetoa jibu sahihi,mmejikoroga tu humu ndani hata mie nishachanganyikiwa!a) maji ya kutoshab) mazoezic) punguza vyakula vya mafutad) punguza stress/msongo wa mawazo e) eat a BALANCED DIET, sio ugali kila siku! f) usifanye punyeto Nimeongeza hayo mengine kwa sababu; HATA UKILA VYAKULA VYA KUKUFANYA RIJALI,UKIWA NA MAWAZO AU UKIPIGA NYETO HUWEZI KU-PERFORM VYEMA
 
Back
Top Bottom