Zingatia maelezo haya ya amigooo kumbuka zamani babu zetu walikula vyakula asilia na "chukuchuku" walikuwa wanahudumia wake zao woote hata wakiwa nane husikii manung'uniko wala kutafuta power nzagamba au viagra aka "umkuyati umwinula mgosi agona"
Zingatia haya!1,jitahidi mzoezi mepesi! kama kukimbia,kuluka kamba,pushapu kidogo.2,Na aina za vyakula jitahidi kula vyakula kama,Ugali si lazima iwe dona! hata sembe na mboga za majani kwa wingi,matunda kama unauwezo,maji kwa wingi ni vizuri zaidi na kumbuka unapopata huo ugali na mboga za majani unaweza kuwa na nyama choma pembeni!karanga mbichi kwa ajiri ya kubolesha mbegu ili ziwe nzito! uji wa ulezi mara kwa mara! zingatia mazoezi!