Ni Vyema Kunyoa!?

Ni Vyema Kunyoa!?

Mfupa

Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
37
Reaction score
3
Nina hisi nina Makata mavi mengi sana so nahitaji ushauri kama ni vyema Kunyoa au ni bora Kuacha. Tafadhari nahitaji ushauri jamani
 
yako wapi mferejini au kwenye karo lenyewe?
 
Una maana umekosa cha kuuliza? au unaku...... Utajinyoaje labda ukalie kioo
 
hutaweza kupeleka mkono wa kujinyoa mwenyewe, utafanya vyema ukinitafuta ili nikusaidie kuyanyoa.
 
Hivi hizi uzi zingine huwa zinasomwa na watu wenye heshima zao au? hii imekaa kiutani zaidi
 
Back
Top Bottom