Pre GE2025 Ni vyema mnapowavisha fulana za Mama Samia muwavishe na viatu basi ili kuzipa hadhi hizo nguo

Pre GE2025 Ni vyema mnapowavisha fulana za Mama Samia muwavishe na viatu basi ili kuzipa hadhi hizo nguo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu

Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini

Screenshot_2024-06-29-18-11-27-1.png
 
Tatizo wa tz wengi hawajitambui.wamepewa hongo nguo ya shilingi 3000 ili wamchague Tena 2025ambapo ataweka Tena tozo ili kurudisha hizo gharama za fulana za bei sawa na Bure.
Sio kwamba hawajitambui kwa kujua, ni kwa sababu hawajui kwani elimu ya uraia Tanzania haifundishwi na haitakiwi kufundishwa. Hii inafanywa maksudi ili watu wasielewe haki na wajibu wao.

Samia anatumia nguvu nyingi sana kujitangaza, anatumia pesa nyingi sana hata ikiwezekana atuuze watanzania ili tu awe rais 2025.

CCM imeharibu sana hii nchi.
 
Back
Top Bottom