BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huwa nasema kila siku humu Ujinga plus umasikini ji hatari sanaHuu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242