Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wamevishwa mabango hakuna nguo hapoTatizo wa tz wengi hawajitambui.wamepewa hongo nguo ya shilingi 3000 ili wamchague Tena 2025ambapo ataweka Tena tozo ili kurudisha hizo gharama za fulana za bei sawa na Bure.
Aibu sanaInahuzunisha sana
Kuna ukweli fulaniCCM ata ukiwa uchi watakupa t shirt ya huyo bibi yao wakupige picha ata p*mbu zikiwa nje hawajali kabisa.. Inasikitisha sana.
Sio kwamba hawajitambui kwa kujua, ni kwa sababu hawajui kwani elimu ya uraia Tanzania haifundishwi na haitakiwi kufundishwa. Hii inafanywa maksudi ili watu wasielewe haki na wajibu wao.Tatizo wa tz wengi hawajitambui.wamepewa hongo nguo ya shilingi 3000 ili wamchague Tena 2025ambapo ataweka Tena tozo ili kurudisha hizo gharama za fulana za bei sawa na Bure.
Haaaaaa haaaaaa wamechoka hata hawajui watakula nini baada ya uchawa.Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Aibu tupu!CCM ata ukiwa uchi watakupa t shirt ya huyo bibi yao wakupige picha ata p*mbu zikiwa nje hawajali kabisa.. Inasikitisha sana.
ππππππππππππππππHuu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Kwani wale wanaovaa mbowe tuvushe, katiba mpya, na maandamano, huwa mnawapa na viatu?Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Umewaona wamevaa yeboyebo?Kwani wale wanaovaa mbowe tuvushe, katiba mpya, na maandamano, huwa mnawapa na viatu?