BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Huwa nasema kila siku humu Ujinga plus umasikini ji hatari sanaHuu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Wako Wapi tuwaone?Kwani wale wanaovaa mbowe tuvushe, katiba mpya, na maandamano, huwa mnawapa na viatu?
Unapata wapi ujasiri wa kumdhihaki mlemavu kabla hujafa hujau.........!Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Sijaona dhihaka yoyote hapo wala hakuna mlemavu hapo.Unapata wapi ujasiri wa kumdhihaki mlemavu kabla hujafa hujau.........!
Hao ni wapumbavu, usha muona Abdul kavaa hayo mavitu? hao ni Combibation ya Upumbavu + Uoga + Umasikini.Unapata wapi ujasiri wa kumdhihaki mlemavu kabla hujafa hujau.........!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]CCM ata ukiwa uchi watakupa t shirt ya huyo bibi yao wakupige picha ata p*mbu zikiwa nje hawajali kabisa.. Inasikitisha sana.
Yaani hapo hakuna ushirikiano kabisaHuu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242
Ile wale wa CHADEMA huwa wako smart, hawa wakwetu ni changamoto kwa kweli kabisa. Hiyo Tshirt ndiyo itakuwa ya kuendea mnadani kila wikiUmewaona wamevaa yeboyebo?
Muulize yule jamaa yako mwenye sera za kushudia miujiza ya uponyaji ili wasikilizaji wampe uongozi kwa kumuhurumiaWako Wapi tuwaone?
Mavitu gani!Hao ni wapumbavu, usha muona Abdul kavaa hayo mavitu? hao ni Combibation ya Upumbavu + Uoga + Umasikini.
Chawa yuko nyuma kushoto anabofya simu janja noma sana mnaotumika kama mabango ya tigo.Huu ni sawa na udhalilishaji tu, hivi wema gani huu
Hata mjinga anaelewa kwamba hawa wanyonge wamevishwa hayo mafulana hata bila kujua wamevaa nini
View attachment 3029242