Hilo nalo ni tatizo kubwa zaidi.Unamtambua kama PM kwa uchaguzi upi?
Astaghifilulah!Anawabebembeleza wasinyimane "u-house"!?🤔Ziara za waziri mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama. Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki. Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Ila mgawanyo wa madaraka na uzingatiwe na kila mtu.Msingi wa Taifa ni familia imara! Naishia hapa.
Aisee!Msingi wa Taifa ni familia imara! Naishia hapa.
Hili nalo neno.Unamtambua kama PM kwa uchaguzi upi?
Cha kwa huyo sio waziri mkuu wa Tanzania otherwise useme ni kibaka tu kama vibaka wengineZiara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.
Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.
Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Kwani waziri mkuu tunae? Kwa uchaguzi gani?Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.
Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.
Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Nakazia 💪Unamtambua kama PM kwa uchaguzi upi?
Akikaa ofisini muda wote mtakuja na uzi wenye kuipinga staili yake ya uongozi. Akienda moja kwa moja kusikiliza kero za watu mnakuja na hoja za kukosoa namna anavyofanya kazi , hakuna jema kutoka kwenu.Ziara za Waziri Mkuu zimekuwa kama ziara za katibu mwenezi wa chama.
Kwa waziri mkuu kwenda kujaribu kudili na matatizo binafsi kwenye ndoa za watu ukiwa juu ya gari inashusha hadhi ya kiti hiki.
Waziri mkuu ajihusishe na masuala mapana ya maendeleo ya nchi yetu na sio ziara za kujitafutia umaarufu binafsi.
Ule ule ambao nyinyi CHADEMA mliuanzishia vurugu mkitaka kuichafua nchi.Kwani waziri mkuu tunae? Kwa uchaguzi gani?
Ule ule ambao nyinyi mliufanyia fujo ili eti wazungu wachukue nchi kwa kigezo cha kuharibika uchaguzi.Unamtambua kama PM kwa uchaguzi upi?
Ndiyo. Yule aliyewahi kuandika jina lae kwenye mawe nchi mzima hiiUnamaanisha Madeluu au ...