Ni Vyuo gani vya elimu ya juu vinaongoza kwa kuchukua div 3 and failures?

Punguzeni hasira basi, naomba pia tukumbuke kuwa kila mtu ana haki ya kupata elimu bora. Hivyo, acha hivi vyuo vichukue watu wote wenye pass, kwani havikuwafelisha vyenyewe, kazi yake ni kuwaelimisha na wengi mwishowe hufanya vizuri na kuwa na maisha bora. Angalizo, tuache ushabiki, hebu tujadili mambo yatakayoinua elimu nchini na kumkomboa mtanzania wa kawaida.

Huko ni sawa na kupika mawe!!!

Believe it or not hao mademu walioingia chuo kupitia pre entry wanakuwa na uchungu na kitabu balaa hata wale wenye div 1 na div 2 hawaoni ndani coz wanajua bahati haiji mara mbili wakishindwa hapo tena wakalale makwao, div 3 zinachukuliwa ila rarely,div 4 na div 0 sijawahi kusikia

U r right,nilishawahi kusoma nao pale UD ni wasongo ile mbaya na huwa wanafanya vizuri tu.

U r right,nilishawahi kusoma nao pale UD ni wasongo ile mbaya na huwa wanafanya vizuri tu.

Hiyo kauli ya kuita waliopata div 4 na 0 failures si busara wakuu coz wengine wapo humu humu ndani,ila suala la kufeli paper si kwamba mtu hana akili mimi nakataa ila kuna factor nyingine, ila as i said before div 3 zipo vyuoni ila div 4 na 0 wanareseat ili waje kupata chance za chuo katika siku za usoni

ebu tafakari upya, unataka kusema div 0 siyo failure?

unaongelea maisha bora? Au ndiyo nyie mnaoamini "kudesa+GPA=maisha bora?

hivi jamani
Ukigraduate pale
st.joseph unaweza
kupata scholarship kama havard unvsty,
cambridge au vyuo
vyengine nje ya nchi?

hivi jamani
Ukigraduate pale
st.joseph unaweza
kupata scholarship kama havard unvsty,
cambridge au vyuo
vyengine nje ya nchi?

Hii thread mmeirudisha tena?

Hii thread mmeirudisha tena?

yani kama kuna uwezekano mode angeiondoa maana inatujengea matabaka wasomi,kwa hali hii mtu anaesoma au aliyesoma katika hivyo vyuo wanavyoviita vya kata watakuwa katika hali gani??? Binafsi naona chuo sio ishu maana sisi tuliosoma haya wanayoyaita ma-giant university tunajua mapungufu yake kwahiyo cha msingi ni wewe kuwa compitent na hepuka ideology za kizamani maana ofisini wamejaa wafanyakazi wa vyuo mbalimbali na baadhi ya wahitimu wa vyuo mnavyovizalau ndio wapo kwenye management team.JIULIZE KWANINI???

Kwa hakika 0 ni failures na mara nyingi hukata tamaa ya kujiendeleza,ila 4 wapiganaji hufanikiwa.

Jamani currently tuna wasimamizi wa vyuo vyote vikuu yaani Tanzania Commission for Universities ambayo imeweka viwango mbalimbali vya wanafunzi kuingia vyuo. Kwa mfano alama za chini kabisa ni point 2.5 kwa muhitimu wa kidato cha sita yaani awe na atleast 2 Es na 1S unaweza kupiga mahesabu yako kujua huyo atakuwa na division gani. I am a lecturer, We started a pre entry program, cha kushangaza wale waliopitia pre entry ndy wamekuwa best performers kwa hiyo provided you do qualify kwa vigezo vya TCU omba chuo na kaza buti. Hard work is what matters, tusiwanyanyase wengine ila tuwaencourage wajiendeleze katika fani mbali na tutafika.
Cheez!

Mkuuu umenifurahisha sana, nadhai jamvi siku hizi limevamiwa Traditional thinker.

Nina ushahidi wa rafiki aliyeingia na 3 ya 16 kupitia pre entry ,mwisho wa course ana 3.8 akiwa miongoni mwa wanafunzi wachache waliofanya vizuri,Wakati wa masomo alikuwa anazungukwa na group kubwa la waliofaulu vizuri form six,

Nina ushahidi wa rafiki aliyeingia na 3 ya 16 kupitia pre entry ,mwisho wa course ana 3.8 akiwa miongoni mwa wanafunzi wachache waliofanya vizuri,Wakati wa masomo alikuwa anazungukwa na group kubwa la waliofaulu vizuri form six,

sa we unashangaa hyo!!mbona mzumbe watu wanaingia na dv 3 zao na wanatoka na first class.

Nina ushahidi wa rafiki aliyeingia na 3 ya 16 kupitia pre entry ,mwisho wa course ana 3.8 akiwa miongoni mwa wanafunzi wachache waliofanya vizuri,Wakati wa masomo alikuwa anazungukwa na group kubwa la waliofaulu vizuri form six,

ni chuo gani hicho kina watu waliofaulu alafu kinachukua watu wa pre entry tena wavulana,maana udsm,ardhi,muhimbili na mzumbe ndio vinaongoza kuwa na wanafunzi wengi wenye div 1 na 2 kidato cha 6 na hakuna pre entry kwa wavulana,sasa wewe ulikuwa unaongelea vyuo gani? Maana nje ya hivyo vyuo utakutana na waliopata div 3 sasa sijui aliepata div 3 nae yupo kwenye kundi la waliofaulu vizuri au vipi.

mjuze basi wewe. Hilo nalo ni swali la kuuliza watu wazima, hilo swali la kitoto tipically ndo maan unaona hata aina ya majibu yato lewayo.
Hata wewe kihiyo tu! is that AmE (Eng) or Br(eng)? right click utapata namna sahihi ya kuandika neno lenye maandishi mekundu kwa kiingereza. yatolewayo ni neno moja halipaswi kutenganishwa hatuna maneno mawili. FAILURE.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…