kwanza aliyekwambia mtu aliyepata division 3 amefeli ni nani? you are sick and pathetic bin pitiful!!!!
you are suffering from grandiosity , please see a nearest psychiatrist for further investigation!!
mtu aliyepata division 3 anaweza na anastahili kuingia university, kama ilivyo aliyepata divisheni 3 ya poit 25 anavyokuwa na haki ya kwenda form 5 so long as kwenye combination yake awe na walau c 3, hii inanikumbusha attitude ya wanafunzi wengi tuliopitia special scholls i.e mzumbe,kibaha na ilboru, huwa tunafikiri hakuna watu wengine kama sisi na hata tukifika chuo kikuu sisi ndo tutatoka the best students lakini hali haikuwa hivyo na wengi tu waliokuwa wamepata daraja la 2 chuoni kwetu walikuwa wanafanya vizuri wakatoka na hons wakati wenzetu tuliotoka nao special school wakiwa na division 1 walikuwa wanahangaika na supp kila semester
sisi wakati tunaingia university tuliambiwa wasomi tanzania tuliofika chuo kikuu by then tulikuwa 0.05% ya population yote, na sisi tulikuwa tukijiona ndio the brightest guys in the country lakini ukweli sio huo, wapo watu wengi waliopata divishen 3 na wakaweza kufanya vizuri sana university
ingelikuwa condition ziko strict then serikali isingeanzisha TCU na wala leo hii kusingekuwa na tumaini university, kcmc university, saut, st joseph college of engineering and the like.
ondoa ukungu uliokutawala machoni mwaka kaka, kupata wani a-level sio kutoka na first class chuo kikuu,