Veldermot....Hii rangi ndiyo imemchanganya You Know Who mpaka kujihalakishia mke wa mtu.
Kuna aliyesema You Know Who na Diamond wafundishwe kutumia condoms
DNA inahusu auYule mtoto amaeshazaliwa ni wa kiume mwenye afya njema. Amezaliwa tarehe 10/12/2017 katika hospitali ya familia.
Dah hatareeeeDNA ya nini wakati baba mzazai amekubali majukumu na anapeleka diapers mwenyewe saa nane usiku na juice ya maembe?
Ila watu weupe wana dam kali sana....hatoambulia chochoteDuuuhh kazi kweli kweli ikitoka kopi mbona balaaa kubwa.
Wakati wengine wanaambiwa vitabu hamnaMtoto ameshapatiwa passport yake.
Adui wa mwanamke ni mwanamke. dah huyu mama mwenye nyumba anapitia mateso. Mungu ampe uvumilivuMtoto malaika amemvuruga ubongo baba.
Jiandae kisaikolojia, huwezi kumdhihaki mkuu wa nchi ukabaki salamaInawezekana akawa Yohana Alcohol Mapadlock Junior